Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

RFI Kiswahili

Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.

Écoutez le dernier épisode:

Mkutano wa hali ya hewa COP29 ukiendelea nchini Azerbaijan, masuala yanayoibua changamoto ni ufadhili, mchakato wa kuondokana na mafuta kisukuku, athari ambazo zimekumba bara la Afrika kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, kuongezeka kwa viwango vya joto lakini pia suluhu zinazopendekezwa na wataalam wa mazingira.

Kauli mbiu ya mwaka huu kwenye mkutano wa COP29 ni uwajibikaji wa ufadhili haswa kutoka mataifa tajiri ambao wanachangia kwa viwango vikubwa uchafuzi wa mazingira wakati athari zake zinaathiri nchi zisizojiweza na shirika la mazingira la Greenpeace Africa linapendekeza mustakabali wa nishati mbadala na haki ya hali ya hewa kwa Afrika.

Kwa mengi zaidi bonyeza ili kusikiliza makala. 

Épisodes précédents

  • 180 - COP29: Wanamazingira wapendekeza ufadhili zaidi kwa Afrika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi 
    Tue, 19 Nov 2024
  • 179 - Ripoti ya mazingira ya UNEP kuhusu pengo la uzalishaji wa gesi chafu duniani 2024 
    Thu, 31 Oct 2024
  • 178 - Jamii Pwani ya Kenya wapinga mradi wa nyuklia kutokana na athari kwa mazingira 
    Tue, 29 Oct 2024
  • 177 - DRC:Jamii ya mbilikimo wakemea uharibifu wa misitu unaofanywa na makundi ya waasi 
    Wed, 09 Oct 2024
  • 176 - Siku ya kimataifa ya uhamasisho kuhusu upotevu na utpaji wa chakula 
    Mon, 30 Sep 2024
Afficher plus d'épisodes

Plus de podcasts sciences et médecine français

Plus de podcasts sciences et médecine internationaux

Autres podcasts de RFI Kiswahili

Choisissez le genre de podcast