Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

RFI Kiswahili

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

Écoutez le dernier épisode:

 Katika makala haya tunajadili kinachoendelea katika mataifa mengi ya  Afrika kuendelea kushuhudia ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana, hii likichangia kwa kiasi kikubwa uhalifu.

Je Wewe unafanya nini ili kupata riziki ya kila siku ?

Ndilo swali tumekuuliza

Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Épisodes précédents

  • 858 - Africa : Ukosefu wa ajira wachangia uhalifu miongoni mwa vijana 
    Wed, 18 Sep 2024
  • 857 - Africa : Ndoa zinaendelea kuvunjika haraka kinyume na awali 
    Tue, 17 Sep 2024
  • 856 - Sudan Kusini : Serikali yaarisha uchaguzi kutokana na shinikizo za wadau 
    Mon, 16 Sep 2024
  • 855 - Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuchangia chochote kile 
    Sun, 01 Sep 2024
  • 854 - Sudan : UN yatathimini kutangaza vikwazo dhidi ya majenerali wa Sudan 
    Thu, 29 Aug 2024
Afficher plus d'épisodes

Plus de podcasts actualités et politique français

Plus de podcasts actualités et politique internationaux

Autres podcasts de RFI Kiswahili

Choisissez le genre de podcast