Mjadala wa Wiki
RFI Kiswahili
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
Radios: RFI Kiswahili
Catégories: Actualités et Politique
Écoutez le dernier épisode:
Rais wa DR Congo Felix Tshisekedi amewaambia viongozi wa dunia kuwa uchaguzi mkuu utafanyika nchini mwake mwaka 2023 kama ilivyopangwa kikatiba.Kauli hii pia imeungwa mkono na spika wa Bunge la kitaifa huko DRC Chistophe Mboso Nkodia wakati wa Mkutano wake na Raia kwenye mji wa Kinshasa Siku ya Jumapili iliyopita.Hata hivyo Tume ya Uchaguzi inayotakiwa kuandaa uchaguzi huo, haijawekwa wazi.
Épisodes précédents
-
100 - Rais wa DRC Felix Tshisekedi athibitisha kuwa uchaguzi utafanyika mwaka 2023 Wed, 29 Sep 2021
-
99 - Joto la kisiasa kuelekea uchaguzi nchini Kenya 2022 Wed, 15 Sep 2021
-
98 - Mapinduzi nchini Guinea na hali ya kisiasa kwa watawala barani Afrika Fri, 10 Sep 2021
-
97 - Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amtaka naibu wake ajiuzulu Wed, 25 Aug 2021
-
96 - Siku 100 za Waziri Mkuu wa DRC Sama Lukonde Thu, 12 Aug 2021
-
95 - Siasa za vyama nchini Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu Thu, 15 Jul 2021
-
94 - Mvutano kati ya Rwanda na Uganda Marekani yatia neno Wed, 13 Mar 2019
-
93 - Mzozo kati ya Rwanda na Uganda kuhusu mpaka wa Katuna Wed, 06 Mar 2019
-
92 - Mustakabali wa DRC baada ya matokeo ya uchaguzi Thu, 31 Jan 2019
-
91 - Mzozo wa kisiasa nchini Venezuela Wed, 30 Jan 2019
-
90 - Wananchi wa DRC bado wanasubiri matokeo ya Uchaguzi Mkuu Wed, 09 Jan 2019
-
83 - Miaka minne ya rais wa Tanzania John Magufuli Wed, 06 Nov 2019
-
82 - Hatima ya Uchaguzi Mkuu nchini Msumbiji Wed, 16 Oct 2019
-
81 - Dunia kuangazia mabadiliko ya tabia nchi Wed, 25 Sep 2019
-
80 - Rais wa DRC Felix Tshisekedi azuru Ubelgiji kuimarisha uhusiano Wed, 18 Sep 2019
-
79 - Baraza huru laundwa nchini Sudan Wed, 21 Aug 2019
-
78 - Mkutano wa 39 SADC kuangazia uchumi wa viwanda Wed, 07 Aug 2019
-
77 - Nani atamaliza Ebola nchini DRC ? Wed, 24 Jul 2019
-
76 - Mauaji nchini Ethiopia yanalenga kuharibu mipango ya Waziri Mkuu Abiy Ahmed ? Wed, 26 Jun 2019
-
75 - Machafuko nchini Sudan, maafa na majeruhi yaripotiwa Wed, 05 Jun 2019
-
74 - DRC yampata Waziri Mkuu baada ya kusubiri miezi mitano Thu, 23 May 2019
-
73 - Kiongozi wa upinzani nchini DRC Martin Fayulu ataka maandamano dhidi ya rais Tshisekedi Thu, 02 May 2019
-
72 - Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika ajiuzulu Wed, 03 Apr 2019
-
71 - IS ladhoofishwa Syria na Iraq Wed, 27 Mar 2019