Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu

RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.

Radios: RFI Kiswahili

Catégories: Culture et Société

Écoutez le dernier épisode:

RFI inaandaa toleo la kumi na moja la Bourse Ghislaine Dupont na Claude Verlon, kwa heshima kwa waandishi wake wawili waliouawa kaskazini mwa Mali  Novemba 2, 2013. Bourse hii, ambayo huwafunza waandishi wa habari vijana kumi wa redio na mafundi vijana kumi wa kuripoti kila mwaka, iko wazi. kwa wagombea kutoka nchi zote za Afrika zinazozungumza Kifaransa. Mafunzo hayo yatafanyika Cotonou. Maombi yamefunguliwa hadi Jumapili Agosti 25 saa sita usiku saa za Paris.

Épisodes précédents

  • 234 - Toleo la 11 la Bourse Ghislaine Dupont na Claude Verlon kutolewa huko Benin 
    Mon, 26 Aug 2024
  • 233 - Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa mahari kwa baadhi ya makabila barani Afrika 
    Mon, 26 Aug 2024
  • 232 - Changu chako chako changu Tasnia ya ulimbwende sehemu ya pili 
    Tue, 13 Aug 2024
  • 231 - Changu Chako Chako Changu tasnia ya ulimbwende sehemu ya kwanza Agost 04 2024 
    Sun, 04 Aug 2024
  • 230 - Historia ya kabila la Wabukusu pamoja na sanaa ya muziki kutokea kwa Bendi ya An Noor 
    Sun, 21 Jul 2024
Afficher plus d'épisodes

Plus de podcasts culture et société français

Plus de podcasts culture et société internationaux

Autres podcasts de RFI Kiswahili

Choisissez le genre de podcast