Jua Haki Zako

Jua Haki Zako

RFI Kiswahili

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.

Radios: RFI Kiswahili

Catégories: Gouvernement et ONG

Écoutez le dernier épisode:

Nchini Kenya zaidi serikali inaendesha uchunguzi wa chembechembe za DNA, za wanafunzi 21 wa shule ya msingi ya Endatasha baada yao kuteketea kiasi ya kutotambulika, kabla ya miili yao kutolewa kwa familia.

Miili limewaacha wazazi kwenye njia panda wasijue la kufanya, wakati huu maswali yakiendelea kuulizwa je nani wakulaumiwa baada ya mkasa huo wa moto shuleni.

 

Kufahamu mengi skiza makala haya.

Épisodes précédents

  • 285 - Kenya : Watoto wateketea shuleni, je jukumu la nani kumlinda mtoto akiwa shuleni 
    Mon, 16 Sep 2024
  • 284 - Kenya: Vikundi vya kina mama vyajitokeza kupinga ukeketaji 
    Tue, 27 Aug 2024
  • 283 - Kenya : Jamii za mipakani zataka serikali kuwapa vitambulisho 
    Sat, 24 Aug 2024
  • 282 - Kenya : Mawikili watoa mafunzo ya sheria kwa vijana 
    Sat, 17 Aug 2024
  • 281 - Tanzania : Human Right Watch lasema Tanzania inawahangaisha raia wa Ngorongoro 
    Tue, 06 Aug 2024
Afficher plus d'épisodes

Plus de podcasts gouvernement et ong français

Plus de podcasts gouvernement et ong internationaux

Autres podcasts de RFI Kiswahili

Choisissez le genre de podcast