Afrika Ya Mashariki

Afrika Ya Mashariki

RFI Kiswahili

Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.

Écoutez le dernier épisode:

Katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama kuangaza na kumulika namna mafunzo ya ujasiriamali yanaweza kuwainua vijana walio ukanda wa Afrika mashariki kupunguza ukali wa Maisha kutokana na kukosa ajira. 

Épisodes précédents

  • 140 - EAC: Namna mafunzo ya ujasiriamali yanaweza kuwainua vijana 
    Wed, 18 Sep 2024
  • 139 - Maonesho ya awamu ya19 ya biashara katika nchi za Afrika Mashariki 
    Wed, 11 Sep 2024
  • 138 - EAC: Fursa za uchumi wa samawati katika Ziwa Victoria 
    Fri, 06 Sep 2024
  • 137 - Maendeleo ya shughuli za uvuvi kwenye maziwa Tanganyika na Victoria 
    Wed, 28 Aug 2024
  • 136 - Hofu kwa wavuvi wa biashara ya samaki Ziwa Victoria nchini Tanzania 
    Wed, 28 Aug 2024
Afficher plus d'épisodes

Plus de podcasts actualités et politique français

Plus de podcasts actualités et politique internationaux

Autres podcasts de RFI Kiswahili

Choisissez le genre de podcast